


120 Second Ad Break
Live365
NELS07 FM ni radio ya mtandaoni kutoka Nyamongo, Mara, Tanzania. Tunakuletea muziki wa Bongo Fleva, Singeli, Hip Hop, Gospel, Amapiano na Afrobeat, pamoja na burudani, vipindi vya vijana, habari za jamii na mazungumzo ya motisha. Karibu usikilize NELS07 FM – sauti ya burudani na vipaji.