SGIC-FM

SGIC-FM

About

Salvation Gospel International Church (SGIC) ni huduma ya Kikristo iliyoasisiwa na Mtumishi wa Mungu Ev. Wilson Augustine, ikihubiri injili kamili ya wokovu isiyogoshiwa, uponyaji wa kimwili na kiroho na urejesho wa mahusiano na Mungu kupitia toba na badiliko la kweli. Kanisa linawajenga waamini kiroho, kukuza vipawa, karama na huduma na kuaandaa viongozi wenye maono kupitia nguvu ya Roho Mtakatifu. Msingi mikubwa ya huduma ni maombi, utakatifu, mahusiano binafsi na Mungu, ukaribu na Mungu, kuhubiri injili kwa waliopotea, ujazo wa nguvu za Roho Mtakatifu. Kwa maombi, maombezi na ushauri wasiliana nasi kupitia mawasiliano haya Mawasiliano: +255(0)749636618 / @salvation_gospel

Genres

Live365 is the easiest way to create an online radio station and discover thousands of stations from every style of music and talk.

Listen nowWhere to listen





ListenersListen nowWhere to listen
© 2025 Live365
TermsDMCAPrivacyCookiesDo Not Sell My Information

Home

Search

Genres